
Swahili
B1 SWAHILI PRACTICAL BOOK
KULC TEAM
Kuhusu Kitabu Hiki: Kitabu hiki cha mazoezi kimeundwa mahususi kukamilisha kozi ya Sarufi ya Kina ya Kiswahili B1 katika Kigali Universal Languages School. Madhumuni makuu ni kumwezesha mwanafunzi kutumia kanuni za sarufi katika muktadha halisi wa maisha: mazungumzo marefu, barua pepe za kiofisi, jumbe za WhatsApp, mialiko rasmi, na mijadala. Kila somo lina sehemu nne kuu: (1) Matini ya Kusoma au Mazungumzo, (2) Orodha ya Msamiati Mahsusi, (3) Maswali ya Fahamu na Oral Comprehension, na (4) Mazoezi ya Bodi na Roleplay.
20,000 RWF